Обзор Презентация
Furahini Kazi Kwa Mfalme
Kanyakla Int'l
Furahini Kazi Kwa Mfalme Kanyakla Int'l
1 verse: Ab Ab/C Furahini kazi kwa Mfalme Eb Ab Kwa mioyo iliyojitolea Ab Ab/C Kwetu sisi alituchagua Eb Ab Akatupa malengo yetu Chorus: Db Ab Kazi kwa Yesu, Eb Ab shangwe twendeni, shangwe twendeni; Db Ab Kazi kwa Yesu Eb Ab Db/Ab Ab shambani duniani. 2 verse: Kwa furaha tutasemezana Pendo lake kwa waaminio Kristo utukufu wake Baba Mibaraka katupa bure Chorus: Kazi kwa Yesu, shangwe twendeni, shangwe twendeni; Kazi kwa Yesu shambani duniani. 3 verse: Kwa unyenyekevu tumwandame Tuzifuate nyayo zake Tuwaongoze waliopotea Kwake Yesu Mkombozi wetu Chorus: Kazi kwa Yesu, shangwe twendeni, shangwe twendeni; Kazi kwa Yesu shambani duniani.
https://holychords.pro/83910
Комментарии
Комментариев нет