Обзор
Презентация
1 verse:
Ab Ab/C
Furahini kazi kwa Mfalme
Eb Ab
Kwa mioyo iliyojitolea
Ab Ab/C
Kwetu sisi alituchagua
Eb Ab
Akatupa malengo yetu
Chorus:
Db Ab
Kazi kwa Yesu,
Eb Ab
shangwe twendeni, shangwe twendeni;
Db Ab
Kazi kwa Yesu
Eb Ab Db/Ab Ab
shambani duniani.
2 verse:
Kwa furaha tutasemezana
Pendo lake kwa waaminio
Kristo utukufu wake Baba
Mibaraka katupa bure
Chorus:
Kazi kwa Yesu,
shangwe twendeni, shangwe twendeni;
Kazi kwa Yesu
shambani duniani.
3 verse:
Kwa unyenyekevu tumwandame
Tuzifuate nyayo zake
Tuwaongoze waliopotea
Kwake Yesu Mkombozi wetu
Chorus:
Kazi kwa Yesu,
shangwe twendeni, shangwe twendeni;
Kazi kwa Yesu
shambani duniani.